Bei kupiga simu ndani, nje ya mitandao zafanana

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema hakukuwa na tofauti ya gharama za kupiga simu ndani na nje ya mitandao ya watoa huduma.
Ripoti ya hali ya mawasiliano katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2025/2026 inaonesha bei ya kupiga simu ndani ya mtandao iliongezeka kwa asilimia 11.5, kupiga simu nje ya mtandao kwa asilimia 3.6 kulinganisha na bei za Juni mwaka huu.
TCRA imeeleza watoa huduma wote walitozwa Sh 30 kwa dakika ndani na nje ya mtandao, isipokuwa Halotel alitoza Sh 25 kwa dakika ndani na nje ya mtandao.
SOMA: TCRA yafungia namba za simu 52,000, zipo za matapeli
Kampuni hiyo ilitoza Sh 250 kupiga simu Afrika Mashariki na Sh 1,424.44 kupiga mataifa mengine. Kwa mujibu wa ripoti hiyo kampuni ya simu ya Airtel ilitoza Sh 30 kupiga simu ndani ya mtandao, Sh 30 kupiga nje ya mtandao, Sh 260 kupiga Afrika Mashariki na Sh 2,350 kupiga mataifa mengine.
TCRA imeeleza Kampuni ya Vodacom ilitoza Sh 30 kupiga simu ndani ya mtandao, Sh 30 kupiga nje ya mtandao, Sh 250 kupiga Afrika Mashariki na Sh 3,383.33 kupiga mataifa mengine.
Ripoti inaonesha Kampuni ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) ilitoza Sh 30 kupiga simu ndani ya mtandao, Sh 30 kupiga nje ya mtandao, Sh 217.60 kupiga Afrika Mashariki na Sh 2,871.33 kupiga mataifa mengine.
TCRA imeeleza kampuni ya Yas ilitoza Sh 30 kupiga simu ndani ya mtandao, Sh 30 kupiga nje ya mtandao, Sh 260 kupiga Afrika Mashariki na Sh 2,550 kupiga mataifa mengine.
“Hizi ni bei za sauti kwa dakika moja kwa kupiga simu ya ndani ya nchi au ya kimataifa bila kujiunga kwenye kifurushi. Wastani wa bei ya huduma ya sauti ulibadilika kutoka Sh 26 kwa dakika ndani ya mtandao na Tsh 28 kwa dakika nje ya mtandao katika robo mwaka iliyoishia Juni 2025, na kufikia Sh 29 kwa dakika ndani na nje ya mtandao katika robo mwaka inayoishia Septemba 2025,” imeeleza ripoti.
Imeongeza: “Wastani wa bei ya huduma ya sauti kwa dakika moja kwa Afrika Mashariki na nchi nyingine ni Sh 247.52 na 2,315.82 mtawalia”.
JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 6000-12700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
THIS→→→→ http://www.job40.media
I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com