Hiki ni kiumbe au AI?

DAR ES SALAAM: Huyu jamaa ni binadamu kweli? au AI! Unaambiwa hadi sasa Cristiano Ronaldo amefikisha mabao 950 katika maisha yake yote ya soka.
 
Amefikisha mabao hayo baada ya jana kufunga bao 1 katika ushindi wa mabao 2 dhidi ya Al-Hazem. Ronaldo anasaka mabao 1000.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button