Myama pumzi muhimu leo

SIMBA inacheza mchezo wa pili wa Kundi D, Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Stade Malien ya Mali.
Katika mchezo huo, Simba ambao walipoteza mchezo wa kwanza kwa 0-1 kutoka kwa Petro Atletico wanahitaji kushinda ili kufufua matumaini ya kufuzu robo fainali, wakati Stade Malien wanahitaji ushindi ili kupata pointi nne baada ya kutoka suluhu dhidi ya ES Tunis ugenini.

Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani, kwani Simba haipaswi kupoteza mchezo ikiwa wanataka kufuzu hatua ya robo fainali, hivyo wanapaswa kuchukua tahadhari kubwa za nje na ndani ya uwanja.
Meneja Mkuu wa Simba, Dimitar Pantev alisema maandalizi yanaendelea vizuri na kusema mchezo wa leo ataanza na mshambuliaji mmoja lakini si kwa sababu wanatakiwa kutumia mbinu tofauti.

Alisema katika mchezo uliopita, alipanga kikosi bila mshambuliaji asilia lakini hawakucheza vibaya, kwani mpango wa mbinu ulikuwa mzuri




I make up to $90 an hour working from my home. My story is that I quit working at Walmart to work online and with a little effort I easily bring in around $40h to $86h… Someone was good to me by sharing this link with me, so now i am hoping i could help someone else out there by sharing this link…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com