Makalla awafikia bajaji, bodaboda

IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla leo Jumatatu Desemba 15, 2025 ameongoza kikao cha kusikiliza kero na changamoto za bodaboda na bajaji Mkoa wa Arusha.
Kikao hicho kimefanyika kwenye viwanja vya Makumbusho ya Azimio la Arusha.
Katika salamu zake za utangulizi, Makalla aliyeambatana na wakuu wote wa wilaya za Mkoa wa Arusha, ameahidi na kuwahakikishia wananchi wa Mkoa wa Arusha kuwa utakuwa utamaduni wake mara zote katika utumishi wake Mkoa wa Arusha kuwafikia na kuwasikiliza wananchi na makundi mbalimbali ya kijamii ili kuondoa kero zinazowakabili.

Amewaaguza pia wakuu wa wilaya kufanya ziara za kuwatembelea, kuwasikiliza na kutatua kero za wananchi.





African housing leaders have warned that rapid urbanisation and population growth are widening the continent’s housing gap.
Namibia announced plans to build 50,000 homes this financial year under a presidential directive.
Nigeria’s housing minister disputed widely cited deficit figures, saying verified data puts the shortfall lower than claimed.
Both countries emphasised affordable housing, land reforms, and public-private partnerships as key solutions.