ACT- Wazalendo wateua manaibu katibu wakuu Bara, Zanzibar
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha ACT-Wazalendo imeridhia uteuzi Omary Ally Shehe kuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Omary Ally Shehe
Taarifa iliyotolewa na Naibu Mwenezi wa chama hicho, Shangwe Ayo imeeleza kuwa Halmashauri Kuu pia imemteua Ester Akoth Thomas Naibu Katibu Mkuu Bara.
Naibu Katibu Mkuu Bara, Ester Akoth