Ado, Kimambo washiriki operesheni majimaji Kisarawe

DAR ES SALAAM; Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu leo Julai 6.2025,akiambatana na Katibu wa Fedha na Uchumi, Rachel Kimambo ameshiriki akiwa mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kisarawe.

Mkutano huo ni sehemu ya utekelezaji wa Operesheni Majimaji inayolenga kuwahamasisha wanachama na wananchi kupiga na kulinda kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2025.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button