RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Patrice Motsepe amesema kuanzia msmu ujao michuano ya African Football League itashirikisha timu 24.
–
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuelekea mchezo wa leo, Motsepe amesema timu zitakazoshiriki zitakuwa kwenye mfumo wa ranki za CAF.
–
“Timu tutazipata kupitia ranki za CAF pamoja na mafanikio yake katika ligi za nyumbani.” amesema Motsepe.


1 comments