Aibuka kinara malkia wa nguvu sekta binafsi

DAR ES SALAAM; Rosemaru Kacungira ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya Equity Aviation na chuo cha marubani cha Soma Aviation, ameibuka mshindi wa Malkia wa Nguvu 2024 katika Tuzo ya Uongozi ya Sekta Binafsi katika tuzo zilizotolewa usiku wa Machi 23, 2024 ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

 

Habari Zifananazo

Back to top button