Asha Dachi ateuliwa Mtendaji Mkuu TSN

DAR-ES-SALAAM : RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania  Dk. Samia Suluhu Hassan amemteua, Asha Dachi kuwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) kabla ya uteuzi huo, alikuwa akikaimu nafasi hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jijini DSM na Katibu Mkuu Kiongozi Moses Kusiluka uteuzi huo umeanza mara moja.

SOMA :TSN yampokea Boss mpya

Advertisement