Arsenal vs PSG: Kibabe Ligi ya Mabingwa Ulaya

Sehemu ya wachezaji wa kikosi cha Arsenal wakifanya mazoezi kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya psg leo.

BAADA ya mikikimikiki ya ligi mbalimbali, michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya ligi inarejea leo kwa michezo kadhaa.

Kivumbi mojawapo ni kati ya Arsenal na Paris Saint-Germain-PSG kwenye uwanja wa Emirates, London.

Michezo mingine ya michuano hiyo leo ni kama ifuatavyo:

Advertisement

RB Salzburg vs Brest
VfB Stuttgart vs Sparta Brague
Barcelona vs Young Boys
Bayer Leverkusen vs AC Milan
Borussia Dortmund vs Celtic
Inter vs FK Crvena Zvezda
PSV Eindhoven vs Sporting CP
Slovan Brastislava vs Manchester City