Na Shakila Mtambo

Siasa

Chaumma kuteua wagombea urais leo

CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo kinateua wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar. Chaumma itateua wagombea hao katika Mkutano…

Soma Zaidi »
Featured

Viongozi, wasomi wamlilia Ndugai

VIONGOZI akiwemo Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson wamemlilia Spika mstaafu na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai…

Soma Zaidi »
Bunge

Buriani Ndugai

DAR ES SALAAM; SPIKA mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai(62) amefariki dunia jana jijini Dodoma.…

Soma Zaidi »
Infographics

Yas yajivunia mchango sekta ya kilimo

DODOMA; KUPITIA Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma, Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Said Idd ameeleza namna Yas inavyochangia…

Soma Zaidi »
Featured

Samia, Dk Mwinyi wamlilia Ndugai

DAR ES SALAAM: RAIS  wa Tanzania,  Dk Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza…

Soma Zaidi »
Featured

Ni Taifa Stars ya viwango

DAR ES SALAA; BAO la dakika ya 89 lililofungwa na beki wa kulia Shomary Kapombe limeipa timu ya Taifa ya…

Soma Zaidi »
Featured

Job Ndugai afariki dunia

DODOMA: SPIKA Mstaafu na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na…

Soma Zaidi »
Afya

Zaidi ya wananchi 10,000 wanufaika kambi ya upimaji

DAR ES SALAAM; WANANCHI zaidi ya 10,000 wamepatiwa matibabu bure katika kambi ya siku tatu ya upimaji wa afya na macho…

Soma Zaidi »
Featured

Waandishi 2,109 waidhinishwa Ithibati, 43 wakwama

DAR ES SALAAM; KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) Wakili Patrick Kipangula, amesema hadi…

Soma Zaidi »
Infographics

Madaktari waongezeka kwenye Ithibati

DAR ES SALAAM; Dk Cosmas Mwaisobwa, Msaidizi wa Makamu wa Rais (hotuba) amepokea Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Presscard) kutoka…

Soma Zaidi »
Back to top button