Mhariri, gazeti HabariLEO

Michezo na Burudani

Dua zote kwa Stars kesho

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetinga hatua ya 16 bora ya Mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025)…

Soma Zaidi »
Kanda

Serikali kujenga kiwanda cha chakula cha samaki Mwanza

SERIKALI imesema kuwa itajenga Kiwanda cha Kutengeneza chakula cha samaki jijini Mwanza kwa lengo la kuwapunguzia gharama wafugaji wa samaki…

Soma Zaidi »
Uchumi

Wachumi waeleza mbinu ‘kutoboa’ Januari

WATAALAMU wa uchumi wametoa ushauri wa namna ya kukabiliana na hali ngumu ya kifedha mwezi Januari ikiwamo kuweka akiba mapema…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwigulu: Serikali haitakwama miradi mikubwa

WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema serikali haitakwama kutekeleza miradi mikubwa kwa fedha za ndani kutokana na kasi nzuri ya…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Mwinyi asisitiza ushirikiano utekelezaji miradi ya maendeleo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza Wananchi kushirikiana na Serikali ili kuhakikisha…

Soma Zaidi »
Kanda

Waziri Mkuu kukagua ujenzi Bwawa la Kidunda leo

Soma Zaidi »
Kanda

Manispaa Geita yawahakikishia usalama wahitaji shuleni

HALMASHAURI ya Manispaa ya Geita imeweka wazi kuwa imejipanga kikamilifu kuhakikisha kila shule inakuwa na miundombinu rafiki kwa watoto ambao…

Soma Zaidi »
Kanda

Abiria wakwama njiani zaidi ya saa 12

ABIRIA 49 wa basi la kampuni ya Makupa lenye namba za usajili T 958 DRK aina ya Sunlong, lililokuwa likisafiri…

Soma Zaidi »
Biashara

Suluhu changamoto kumi za biashara kwa wazalishaji dawa

DESEMBA 29 makala haya ya JOHN MAPEPELE chini ya kichwa cha habari: ‘Mwanga wa Matumaini Sekta ya Dawa Tanzania’ yalikuwa…

Soma Zaidi »
Afya

Wilaya ya Arusha yazindua kampeni bima ya afya kwa wote

MKUU wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude amezindua kampeni ya uhamasishaji wananchi kujiunga na mpango wa serikali wa Bima ya…

Soma Zaidi »
Back to top button