Mhariri, gazeti HabariLEO

Featured

Uchaguzi Mkuu 2025 kielelezo cha demokrasia EAC

HIKI ni kipindi ambacho baadhi ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zitafanya Uchaguzi Mkuu kwa ajili ya kupata…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

CHAN imeisha, tujipange kwa michuano mingine

SAFARI ya Taifa Stars kwenye michuano ya Mabingwa wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024) imeishia kwenye hatua ya…

Soma Zaidi »
Featured

Klabu zisaidie kuzalisha wachezaji bora Taifa Stars

MICHUANO ya Mabingwa wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024) kwa upande wa Tanzania ilimalizika Ijumaa baada ya Taifa…

Soma Zaidi »
Featured

Mpango aikaribisha Ghana kuwekeza sekta sita nchini

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji kutoka Ghana kuwekeza nchini kupitia fursa nyingi zilizopo katika sekta ya madini,…

Soma Zaidi »
Featured

Mfumo ufuatiliaji miradi kuanzishwa kudhibiti rushwa

MGOMBEA Mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi ameahidi kuwa serikali ijayo ya chama hicho,…

Soma Zaidi »
Infographics

CCM yakosa upinzani ubunge Mvomero, Ngorongoro

WAGOMBEA ubunge katika majimbo ya Mvomero mkoani Morogoro na Ngorongoro mkoani Arusha wamekosa wapinzani. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi…

Soma Zaidi »
Urithi

SIKU YA PAPA POTWE DUNIANI; WWF inavyoimarisha uhifadhi Mafia

AGOSTI 30, kila mwaka dunia inaadhimisha Siku ya Papa Potwe duniani ikiwa na lengo kuibua ufahamu na kuelimisha umma kuhusu…

Soma Zaidi »
Featured

Tanzania kuwa kitovu uchumi wa kijani, nishati safi inawezekana

HIVI karibuni, Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wakati akiweka jiwe la msingi la kiwanda cha kusafi sha na kusindika madini…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kipa Mlandizi Queens atua Yanga Princess

KLABU ya mpira wa miguu kwa wanawake, Yanga Princess imemtambulisha golikipa mpya, Ester Kolonely kutoka timu ya Mlandizi Queens ambaye…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Wagombea, vyama vizingatie kampeni za kistaarabu kulinda amani ya nchi

LEO (Agosti 28, 2025) ni uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025. Vyama…

Soma Zaidi »
Back to top button