Mwandishi wetu

Michezo na Burudani

Dk. Mwinyi akagua ujenzi ‘Sports City’ Fumba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Samia aunda Tume huru ya uchunguzi wa matukio ya uchaguzi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu cha 3 cha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania yajipanga kwa COP11 Geneva

UJUMBE wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umefika mjini Geneva tayari kuanza Mkutano wa 11 wa Nchi wanachama  wa Mkataba…

Soma Zaidi »
Gesi

TPDC : Maelfu Wanufaika na Gesi Asilia

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendelea kuunga mkono  Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwani Watanzania…

Soma Zaidi »
Tanzania

Adaiwa kujiteka kisa kukosa huduma

JESHI la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kutengeneza taarifa ya uongo kuhusu kutekwa kwa mwanamke aitwaye…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Uteuzi wa Madiwani Vitimaalum Wakamilika 99%

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kukamilisha uteuzi wa Madiwani Wanawake wa Viti Maalumu 1,385 kati ya 1,387…

Soma Zaidi »
Tahariri

Amani ni msingi wa taifa, tudumishe amani

AMANI ni tunu adhimu ambayo kila taifa duniani hutamani kuipata na kuidumisha. Tanzania imekuwa kisiwa cha amani, hili ni jambo…

Soma Zaidi »
Maoni

Kila la heri wanafunzi Kidato cha Nne

MITIHANI ya taifa ya kidato cha nne imeanza leo nchini ikiwa ni kilele cha safari ya miaka minne ya masomo…

Soma Zaidi »
Biashara

Tafiti 128 kutumika kusaidia wafanyabiashara

TAFITI 128 zilizolenga mada ya biashara na uchumi himilivu kwa ajili ya maendeleo jumuishi nchini Tanzania na nchi zinazoizunguka zimewasilishwa…

Soma Zaidi »
Madini

Barrick yakabidhi leseni 13 kwa wachimbaji wadogo Tarime

MGODI wa Barrick North Mara umetoa leseni 13 na kufadhili mafunzo kwa wachimbaji wadogo ili waendeshe shughuli za uchimbaji. Mgodi…

Soma Zaidi »
Back to top button