Rehema Lugono

Chaguzi

Mgombea ubunge asifu serikali ujenzi barabara DODOMA Mjini

DODOMA : MGOMBEA ubunge jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Pascal Chinyele ameipongeza Serikali ya Awamu ya…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Wananchi tushiriki kampeni kubaini wagombea bora

KAMPENI za wagombea nafasi ya urais, ubunge na udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 zinaendelea nchini.

Soma Zaidi »
Chaguzi

Wagombea urais, ubunge wabanwa fedha za uchaguzi

DODOMA : WAGOMBEA urais, ubunge na udiwani wanatakiwa kutangaza fedha walizonazo kwa ajili kwa kugharamia uchaguzi.

Soma Zaidi »
Chaguzi

Msigwa: Samia amefanya maajabu

NYAMAGANA : KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Msigwa amesema mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Samia Suluhu…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Mgombea upinzani amuunga mkono Dk Mwinyi

ZANZIBAR : MGOMBEA urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib amesema anamuunga mkono mgombea kupitia…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Wagombea 124 udiwani CCM wakosa upinzani Arusha

ARUSHA : MSIMAMIZI wa Uchaguzi Mkoa wa Arusha, Apolinary Seiya amesema wagombea wa udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Akili unde isichafue pambazuko la wanawake kuchaguliwa 2025

MWAKA 2025 kumepambazuka kwa wanawake kuchanua katika siasa na uongozi na ndio maana ‘Kura Yako ni Haki Yako Jitokee Kupiga…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Kura ni nyenzo muhimu katika kuijenga Tanzania bora

DODOMA : KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Asha-Rose Migiro ameripoti ofi sini kwake jijini Dodoma. Dk…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Mpina aenguliwa kugombea urais

DAR-ES-SALAAM : OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi wa Luhaga Mpina kugombea urais kupitia Chama cha ACT…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Kampeni za uchaguzi ziwe za kistaarabu

USTAARABU katika kampeni ni jambo muhimu sana ili kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unaendeshwa kwa kuzingatia heshima, uwazi, usawa, kupinga chuki…

Soma Zaidi »
Back to top button