Na Ramla Hamidu

Tanzania

Rais Samia amesikia kilio maaofisa usafirishaji – Mpogolo

DAR ES SALAAM: SERIKALI imepunguza gharama za leseni kwa maofisa usafirisha wa bodaboda, bajaji na guta zinazotumia umeme katika bajeti…

Soma Zaidi »
Africa

Miundombinu ya usafiri kuimarishwa Ukanda wa Kati Afrika

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Tanzania imeahidi kuendelea kuwekeza kwa nguvu katika miundombinu ya usafiri kwa lengo la kukuza biashara…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanesco yawakumbushia madeni malipo kabla, baada

DAR ES SALAAM: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataka wateja wao kulipa madeni ya malipo ya kabla na baada ili…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

“Uchaguzi Mkuu uwape kipaumbele wanaothamini michezo”

IRINGA: Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga, amewataka Watanzania kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025 unazaa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Nduli yaamka: Viongozi wafundwa kutetea haki na kukemea ukatili

IRINGA: Katika hatua ya kuijenga jamii inayozingatia haki, amani na utawala wa sheria, viongozi wa Kata ya Nduli, mjini Iringa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Zaidi ya bil 107/- zapeleka umeme vijiji vyote Simiyu

SIMIYU: Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetumia takribani Sh bilioni 107.36 kupeleka umeme kwenye…

Soma Zaidi »
Tanzania

Vijiji vyote 109 Meatu vina umeme

SIMIYU: RAIS Samia Suluhu Hassani amesema Serikali imeendelea kupeleka maendeleo wilayani Meatu ikiwemo ukamilishaji wa usambazaji umeme katika vijiji vyote…

Soma Zaidi »
Tanzania

REA kufikisha umeme maeneo mengi Njombe

NJOMBE: MWENYEKITI Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu ameihakikishia ushirikiano kampuni ya kuzalisha na kusambaza…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watoto wenye kigugumizi Dar kufundishwa kujiamini

DAR ES SALAAM: CHAMA cha Mtindo Maalum wa Uzungumzaji Tanzania (CHAMMUTA) kitaanza kambi maalum ya watoto wenye kigugumizi itakayofanyika Dar…

Soma Zaidi »
Afya

Majaliwa ataka tafiti za tija mabadiliko sekta ya afya

DAR ES SALAAM: SERIKALI imetawaka watafiti na watunga sera kuwekeza katika tafiti zenye tija ili matokeo yake yatumike kutunga sera…

Soma Zaidi »
Back to top button