Na John Nditi, Morogoro

Tanzania

Tanesco, Saccos yanufaisha wanachama mikopo bil 27.2/-

MOROGORO: CHAMA cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO SACCOS) kimetoa  mikopo ya zaidi ya…

Soma Zaidi »
Chaguzi

mgombea udiwani CCM aahidi ushirikishwaji Nyandira kupaisha maendeleo

MOROGORO: MGOMBEA Udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Nyandira, Magari Nesto, ameendeleza kunadi Ilani ya chama chake huku…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Kairuki aahidi usimamizi huduma za kijamii

DAR ES SALAAM: MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Angellah Kairuki amesema endapo…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Rais Samia apongezwa kwa kugusa mioyo ya wananchi wa Anjouan

COMORO: Gavana wa Anjouan, Dk Zaidou Youssouf ametoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu…

Soma Zaidi »
Infographics

Kairuki aahidi kusimamia ujenzi shule mpya

DAR ES SALAAM: MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Angellah Kairuki amesema endapo…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Waislamu washauriwa kutoandamana Oktoba 29

DAR ES SALAAM:  WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wameshauriwa kutoshiriki maandamano yanayohamasishwa kwenye mitandao ya kijamii yaliyopangwa kufanyika Oktoba 29,…

Soma Zaidi »
Infographics

Ngajilo kuvitambua vilabu vya pombe kama chanzo cha uchumi Iringa Mjini

IRINGA:: Mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CCM, Fadhili Ngajilo, amesema ni wakati wa kuviheshimu vilabu…

Soma Zaidi »
Biashara

David Mulokozi afurahia uwekezaji Manyara

MANYARA: Wawekezaji mkoani Manyara wamemkaribisha kwa kishindo mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk Samia Suluhu Hassan mkoani humu katika…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Maombi ya Ngajilo kituo cha Afya Uyole yazaa matunda

IRINGA: Maombi ya Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CCM, Fadhili Ngajilo, kwa ajili ya kuboresha…

Soma Zaidi »
Infographics

Miti yatajwa kuwa kinga dhidi ya joto kali

WATAFITI nchini Tanzania wamebaini ushahidi mpya unaoonyesha kuwa uwepo wa miti katika mashamba ya mazao yaani kilimo mseto (agroforestry) ni…

Soma Zaidi »
Back to top button