Na Mwandishi Wetu

Kimataifa

Onyo za kusafiri kutoka Magharibi ni vikwazo vipya?

DAR ES SALAAM: Kuongezeka kwa onyo za usafiri na masharti ya visa kwa nchi za Afrika kunazua hofu kuwa uhuru…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Ngajilo aahidi kushughulikia kero ya barabara na mfereji Isakalilo

Mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo (CCM), amesema kero kubwa inayowakabili wananchi wa Kata ya Isakalilo, hususan…

Soma Zaidi »
Tanzania

RC Chalamila akagua miundombinu Tanesco

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya ziara ya kutembelea kituo kikuu cha kuzalisha…

Soma Zaidi »
Featured

Wafanyabiashara wahimizwa kutumia bandari Tanzania

ZAMBIA: Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Luteni Jenerali Mathew Mkingule, amewahimiza wadau na watumiaji wa bandari kuendelea kutumia bandari za…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

‘Mwana FA’ awaita mashabiki “Road to BAL’

DAR ES SALAAM:NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), amewataka mashabiki wa michezo nchini kujitokeza…

Soma Zaidi »
Afya

Watu milioni 5 hufariki tezi dume kwa mwaka EAC

DAR ES SALAAM: ZAIDI ya wanaume milioni tano hufariki kila mwaka katika ukanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutokana na…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Je, Magharibi inazuia amani nchini Ukraine?

UKRAINE: Vita vya Ukraine vinaendelea zaidi ya mwaka wa tatu sasa, na ishara mpya za kidiplomasia kutoka Moscow zimezua mjadala…

Soma Zaidi »
Gesi

Dalili gesi asilia zaonekana kitalu cha Lindi – Mtwara

MTWARA: UTAFITI unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za uwepo wa gesi asilia, hususani katika vijiji…

Soma Zaidi »
Tanzania

Viongozi wa dini watoa wito kudumisha amani

DAR ES SALAAM: VIONGOZI wa dini kutoka madhehebu mbalimbali nchini wamekutana kujadili umuhimu wa kudumisha amani, haki na maridhiano hasa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mikakati yasukwa kuboresha afya kinywa na meno

DAR ES SALAAM: Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimeendesha Kongamano la 15 la Afya ya Kinywa…

Soma Zaidi »
Back to top button