Diana Deus

Tanzania

Wananchi Kishenge waliridhia ujenzi eneo la biashara

BUKOBA: Katika kutekeleza miradi ya maendeleo, Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba kupitia timu ya uratibu wa kuhamisha makaburi ya Kishenge…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Madereva TZ kushiriki mashindano ya magari Afrika

MOROGORO: MADEREVA 23 kutoka mataifa mbalimbali duniani wakiwemo Watanzania wamethibitisha kushiriki mashindao ya mbio za magari barani Afrika yanayofahamika kwa…

Soma Zaidi »
Infographics

Makanisa 84 yabadili mabango kuwa Shincheonji

ETHIOPIA: Jumla ya makanisa 84 katika miji 10 nchini Ethiopia yamebadili rasmi mabango yao na kuandikwa jina jipya la Kanisa…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Mgombea aahidi utatuaji uuzaji ardhi holela

ARUSHA: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Simanjiro mkoani Arusha, James Ole Millya amesema endapo atachaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watoto wa Ilomo wamuomba RC Iringa kuingilia mgogoro wa mirathi

Sarah Agustino Ilomo, mmoja wa watoto wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa Iringa, marehemu Mzee Augustino Ilomo, amemuomba Mkuu wa Mkoa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwenge wapongeza falsafa ya Rais Samia

KIGOMA: KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Ismail Ussi amesema kuwa miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali imeleta mabadiliko ya…

Soma Zaidi »
Afya

MOI yazindua mpya wa kuweka miadi

DAR ES SALAAM: Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imezindua mfumo maalumu wa kuweka miadi na madaktari…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

The Swahili phrase “kiasi kidogo” is made up of two words:kiasi → means amount, measure, portion, extent.kidogo → means small,…

Soma Zaidi »
Tanzania

NBAA yatoa elimu changamoto hati chafu

DAR ES SALAAM: Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) imetoa elimu ya kitaalamu kuhusu changamoto ya…

Soma Zaidi »
Fedha

TRA yafundwa kuepusha migogoro Katavi

KATAVI: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Katavi imetakiwa kufanya kazi kwa weledi ili kuondoa changamoto zote zinazoweza kusababisha…

Soma Zaidi »
Back to top button