Yasinta Amos

Infographics

Mbio nishati safi zaiva Arusha

ARUSHA: MKUU wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi amewaaalika wananchi mbalimbali kujitokeza kushiriki mbio za riadha za Nishati Safi ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kasharunga FC yatwaa ubingwa Miamia Cup

MULEBA: Timu ya Kasharunga FC imetwaa ubingwa na kujishindia kitita cha Sh milioni 10 baada ya ushindi dhidi ya Muhalila…

Soma Zaidi »
Fursa

Kundi la madereva lawasili Doha kuanza kazi

KUNDI la kwanza la madereva 28 wa Kitanzania, kati ya madereva 103 limewasili katika Doha kuanza kazi zao katika Kampuni…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wananchi Kwedizinga kunufaika mradi wa maji wa mil 297/-

TANGA: Zaidi ya wananchi 4,486 waliopo kijiji cha Kwedizinga wilayani Handeni watanufaika na huduma ya maji baada ya kukamilika kwa…

Soma Zaidi »
Fursa

Maonesho ujuzi, ajira yadhihirisha uwekezaji wa Uswis kwa vijana TZ

IRINGA: Naibu Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Nicole Providoli, ameshiriki uzinduzi wa maonyesho ya ujuzi, fani na ajira kwa vijana…

Soma Zaidi »
Tanzania

Taasisi yakazia watoto kusoma sayansi nje ya nchi

SHINYANGA: TAASISI ya Global Education Link 2025 imeendelea kuhamasisha jamii na kuwashauri wazazi kuendeleza watoto wao kwenye vyuo vya mataifa…

Soma Zaidi »
Dini

Tamasha nyimbo za dini kubadili vijana kimaadili

TAMASHA la uimbaji wa nyimbo za dini kwa vijana kutoka Makao Makuu ya Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria…

Soma Zaidi »
Tanzania

NEDC yatafsiri Dira 2050 maendeleo kwa vijana

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete amesema Chama cha kitaifa cha…

Soma Zaidi »
Fursa

Mashamba ya kahawa Kagera kupimwa kidigitali

KAGERA: Kampuni ya Bizy Tech kwa kushirikiana na Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) imeanza utekelezaji wa mpango wa utambuzi wa…

Soma Zaidi »
Fursa

Vijana watakiwa kuchangamkia fursa elimu nje

ARUSHA: VIJANA wametakiwa kuchangamkia fursa za masomo nje ya nchi ili waweze kujiendeleza zaidi kielimu kupitia vyuo vikuu mbalimbali duniani.…

Soma Zaidi »
Back to top button