Magnus Mahenge

Dodoma

Watumishi Moi wakumbushwa maadili, lugha za staha

DODOMA: WAFANYAKAZI wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamekumbushwa kufanya kazi kwa uadilifu, kutumia lugha za staha…

Soma Zaidi »
Gesi

PURA, ALNAFT wakutana Algiers kujadili namna ya kuinua sekta ya gesi asilia

Algiers, Algeria: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Nchini (PURA) imekutana na kufanya mazungumzo na Mamlaka ya Udhibiti…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mkurugenzi Puma ashauri wakuu taasisi za umma kuepuka urasimu

ARUSHA: Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Fatma Abdallah amewashauri wakuu wa taasisi zilizo chini ya Serikali kuzingatia ubunifu na…

Soma Zaidi »
Biashara

Vodacom inavyochochea mageuzi ya kidijitali kupitia ukuaji, matumizi ya data

Dar es Salaam: Vodacom Tanzania imeripoti ongezeko kubwa la matumizi ya data katika mtandao wake kwa mwaka wa fedha ulioishia…

Soma Zaidi »
Biashara

Namna StartHub Africa inavyowainua vijana wa Kitanzania kupitia ujasiriamali

Dar es Salaam: Shirika la kusaidia wajasiriamali, StartHub Africa, limeendelea kuongeza juhudi za kuwapatia vijana wa Kitanzania ujuzi, ushauri na…

Soma Zaidi »
Dodoma

Sangweni: Mfungamano gesi asilia, kilimo utaongeza tija

DODOMA: ENDAPO sekta za gesi asilia na kilimo zitafungamanishwa vema zitaongeza tija katika uchumi kwani zinategemeana. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka…

Soma Zaidi »
Biashara

‘Shamba ni Mali’ yazinduliwa kukabili changamoto za wakulima

Dar es Salaam: Mavuno hafifu yanayosababishwa na matumizi ya mbolea na viuatilifu bandia, mabadiliko ya ghafla ya mvua, ukosefu wa…

Soma Zaidi »
Biashara

Airtel Afrika yajivunia ufanisi robo ya kwanza 2025

Dar es Salaam: Airtel Africa imetangaza matokeo bora kwa robo ya kwanza iliyoishia Juni 30, 2025, ikionesha ongezeko la wateja…

Soma Zaidi »
Featured

PURA yashiriki ukaguzi, majaribio mtambo kuchimba gesi asilia

Tianjin, China: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeshiriki zoezi la ukaguzi na majaribio ya mtambo utakaotumika…

Soma Zaidi »
Gesi

Ushirikiano wa PURA, ZIPRA wamkosha Katibu Mkuu

DAR ES SALAAM: Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Kepteni Hamad Bakar Hamad (wakwanza kulia) amezipongeza…

Soma Zaidi »
Back to top button