Azam walivyotinga kibabe makundi CAF

DAR ES SALAAM; TIMU ya soka ya Azam FC jioni ya leo Oktoba 24, 2025 imeandika historia mpya ya kuingia kwa mara ya kwanza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF),  baada ya kuifunga KMKM mabao 7-0 Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Kutokana na matokeo hayo Azam FC imefuzu hatua ya makundi kwa jumla ya mabao 9-0 baada ya mchezo wa kwanza uliofanyiak Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar wiki moja iliyopita, timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 0-2.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button