Balla Conte ni mwananchi bwana!

DAR ES SALAAM; KLABU ya Yanga imethibitisha rasmi kuwa kiungo Moussa Balla Conte raia wa Guinea anayechezea timu ya CS Sfaxien ya Tunisia, amejiunga na klabu hiyo.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button