Afya

Wadau wanolewa kusimamia utekelezaji uongezaji virutubishi kwenye vyakula

MOROGORO: OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imesema dhamira ya serikali ni Watanzania kupata vyakula…

Soma Zaidi »

CARDIOTAN 2025: Kuimarisha huduma za moyo Afrika

ZANZIBAR; MKUTANO wa kisayansi wa CARDIOTAN 2025 ulifanyika mwishoni mwa wiki mjini Zanzibar  chini ya usimamizi wa Kampuni ya Showtime…

Soma Zaidi »

UNFPA, Finland watakiwa kuwafikia wengi

DAR-ES-SALAAM : WITO umetolewa kwa Serikali ya Finland na Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ya Uzazi (UNFPA) kuendelea…

Soma Zaidi »

Haloteli yaishauri jamii kuchangia damu

DAR ES SALAAM: Watanzania wameshauriwa kushiriki zoezi la kuchangia damu kusaidia kuokoa maisha ya wengine, hasa wagonjwa wa ajali, mama…

Soma Zaidi »

Muhas yaja na mkakati kukabili usonji

DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimesema kitaendelea kuzalisha wataalamu wa shahada ya awali…

Soma Zaidi »

Mashine zaidi ya 100 kupunguza gharama usafishaji figo

ILI kupunguza gharama za matibabu ya kusafisha figo nchini, Serikali imesambaza mashine zaidi ya 100 pamoja na vitendanishi vyake katika…

Soma Zaidi »

Janabi ataja vipaumbele vyake saba WHO

MGOMBEA nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Profesa Mohamed Janabi ametaja vipaumbele vyake saba…

Soma Zaidi »

Kigoma yaanza kutekeleza mpango utalii tiba

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) imesema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika utoaji huduma za afya ambapo kwa sasa Mkoa wa…

Soma Zaidi »

Kongole Tanzania kudhibiti kifua kikuu, vita iendelee

VITA dhidi ya magonjwa ilianza tangu nchi ilipopata uhuru wakati Mwalimu Julius Nyerere alipotangaza maadui watatu wa Tanzania kuwa ni…

Soma Zaidi »

Profesa Janabi atoa darasa umuhimu wa misuli uzeeni

MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema ni muhimu kufanya mazoezi ili kuwa na…

Soma Zaidi »
Back to top button