Afya

Wananchi Msata wapatiwa elimu tiba kutoka RTS

PWANI: ZAIDI ya wananchi 200 wa kijiji cha Kihangaiko kata ya MSATA Wilaya ya BAGAMOYO Mkoa wa Pwani wamepata elimu…

Soma Zaidi »

Upatikanaji dawa vituo vya afya wafikia 87%

SERIKALI imesema hali ya upatikanaji wa dawa katika vituo vyote vya afya nchini umefikia asilimia 87 na kwenye Bohari ya…

Soma Zaidi »

Tanzania yajizatiti uwekezaji sekta ya afya

DODOMA: RAIS Dk Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inaelekea kutoka ‘kuzingatia msaada wa afya’ hadi ‘uwekezaji wa afya’ kama msingi…

Soma Zaidi »

Wananchi Nyakato wapongeza uboreshaji huduma za afya

MWANZA: Wananchi wa mtaa wa National, kata ya Nyakato wilayani Ilemela, mkoani Mwanza wameshauri kuwepo wa mikutano ya hadhara kila…

Soma Zaidi »

Kampeni tokomeza malaria kufanyika halmashauri ya Morogoro

MOROGORO: HALMASHAURI ya Wilaya ya Morogoro inatarajia kutoa vyandarua bila malipo kwa kila kaya ili kukabiliana na ugonjwa wa malaria.…

Soma Zaidi »

Arusha wamshukuru Samia vipimo magonjwa ya moyo

ARUSHA; Wananchi wa Mkoa wa Arusha na mikoa ya jirani wamemshukuru Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan kwa uwezeshaji…

Soma Zaidi »

Mbaroni kwa vipodozi vyenye sumu

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuingiza nchini bidhaa za magendo kinyume na sheria…

Soma Zaidi »

Dk Samizi awatembelea majeruhi ajali ya basi, lori Moro

NAIBU Waziri wa Afya, Dk Florence Samizi, kwa niaba ya Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa, ametembelea na kuwajulia hali…

Soma Zaidi »

Wagonjwa TB walioacha dawa kusakwa

WILAYA ya Tunduru mkoani Ruvuma kupitia Idara ya Afya imeanza msako wa kuwatafuta wagonjwa wa Kifua Kikuu waliokatisha matumizi ya…

Soma Zaidi »

Wilaya ya Arusha yazindua kampeni bima ya afya kwa wote

MKUU wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude amezindua kampeni ya uhamasishaji wananchi kujiunga na mpango wa serikali wa Bima ya…

Soma Zaidi »
Back to top button