Afya

Kituo magonjwa ya moyo kitapunguza utegemezi -Prof Mkenda

DAR ES SALAAM: SERIKALI inakusudia kujizatiti kuongeza mitaala zaidi ya elimu ya afya ili kuzalisha wataalamu wa afya, lakini pia kuimarisha…

Soma Zaidi »

MUHAS waja na mpango wa mazoezi usimamizi kitabibu

DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kinatarajia kuanza kutoa mafunzo maalum ya kitaalamu kwa…

Soma Zaidi »

NHIF yaguswa mzigo gharama za matibabu

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema kila mwaka unatumia zaidi ya Sh bilioni 700 kugharamia matibabu katika…

Soma Zaidi »

Wananchi kijiji cha Msilili Newala kunufaika na zahanati ya bil 1/-

MTWARA: WAKAZI wa kijiji cha Msilili kata ya Mcholi II Halmashauri ya Mji Newala mkoani Mtwara wanategemea kunufaika na mradi…

Soma Zaidi »

Fistula yazua mjadala mpya

WATOA huduma za afya ya mama na mtoto wametakiwa kuwa makini wakati wa kutoa huduma za uzazi ili kuzuia athari…

Soma Zaidi »

Wananchi wajitokeza kwa wingi uchunguzi magonjwa ya moyo

DAR ES SALAAM: WANANCHI zaidi ya 120 wamejitokeza kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo katika kambi ya siku mbili inayoendea…

Soma Zaidi »

Spika ayabariki majibu ya Dk. Mollel Huduma Bure kwa Wajawazito

DODOMA: SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ametoa muongozo akieleza kuridhishwa na majibu ya Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin…

Soma Zaidi »

Madaktari Marekani watoa matibabu bure Moro

MOROGORO: MADAKTARI Bingwa kutoka Marekani waliopo katika Taasisi ya Global Health Humanity First inayomilikiwa na Jumuiya ya Ahamadiyya Duniani wameweka…

Soma Zaidi »

Muhas waandaa kambi uchunguzi magonjwa ya moyo

DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimesema kimeandaa Kambi Maalum ya Afya ya Moyo…

Soma Zaidi »

Prof. Janabi achaguliwa Mkurugenzi WHO-Afrika

GENEVA — Kikao Maalum cha Pili cha Kamati ya Kanda ya Afrika ya WHO kilichofanyika leo Jumapili, Mei 18, 2025…

Soma Zaidi »
Back to top button