Prof. Janabi achaguliwa Mkurugenzi WHO-Afrika

GENEVA — Kikao Maalum cha Pili cha Kamati ya Kanda ya Afrika ya WHO kilichofanyika leo Jumapili, Mei 18, 2025 kimemchagua Profesa Mohamed Janabi kuwa Mkurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika,