Afya

Bidhaa ya chama yaondolewa sokoni

DAR-ES-SALAAM : SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeondoa sokoni tani 42 za bidhaa za chakula za watoto maarufu chama zenye…

Soma Zaidi »

Chalamila azindua Premier Clinic Muhimbili

DAR-ES-SALAAM : MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezindua kliniki maalum ya Premier Clinic katika Hospitali ya…

Soma Zaidi »

MOI yazindua mpya wa kuweka miadi

DAR ES SALAAM: Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imezindua mfumo maalumu wa kuweka miadi na madaktari…

Soma Zaidi »

JKCI yafanya kambi ya upasuaji wa moyo kwa watoto

DAR ES SALAAM: Serikali imeokoa kiasi cha Sh milioni 270 kupitia kambi maalumu ya upasuaji wa moyo kwa watoto iliyofanywa…

Soma Zaidi »

Mikakati mitano kudhibiti vifo vya vijana

DAR-ES-SALAAM : WIZARA ya Afya imesema imewekeza katika maeneo matano ili kupambana na tatizo la kuzuia kujiua huku takwimu zikionesha…

Soma Zaidi »

Wadau waipongeza serikali ubora huduma za afya

MOROGORO: WADAU wameipongeza serikali kwa kufanya uwekezaji mkubwa na uboreshaji miundombinu ya  kutolea huduma za afya katika hospitali mbalimbali nchini…

Soma Zaidi »

Makalla: Samia ameboresha sekta ya afya Arusha

MKUU wa Mkoa wa Arusha CPA Amos Makalla amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa mapinduzi makubwa kwenye sekta ya afya…

Soma Zaidi »

Watuhumiwa 940 dawa za kulevya mbaroni

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilo 33,077 za dawa za kulevya…

Soma Zaidi »

Watumishi Moi wakumbushwa maadili, lugha za staha

DODOMA: WAFANYAKAZI wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamekumbushwa kufanya kazi kwa uadilifu, kutumia lugha za staha…

Soma Zaidi »

JKCI yafanikisha matibabu Afrika

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) tangu kuanzishwa mwaka 2015 imeokoa maisha ya zaidi ya watu…

Soma Zaidi »
Back to top button