Fedha

Kampeni ya ‘Kuchanja kijanja’ kumwezesha mashabiki kushuhudia fainali UEFA

DAR ES SALAAM: Benki ya Exim kwa kushirikiana na Mastercard wamezindua rasmi Kampeni ya UEFA Priceless, mpango kabambe unaolenga kuhamasisha…

Soma Zaidi »

‘Serikali inatambua umuhimu ushirikiano Sekta ya Umma, Binafsi’

SERIKALI imesema inatambua umuhimu wa ushirikino kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi katika kukuza uchumi wa nchi, huku…

Soma Zaidi »

TRA makusanyo juu 78% miaka minne

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeongeza makusanyo ya kodi kwa asilimia 78 katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya…

Soma Zaidi »

Serikali yapunguza utegemezi wa bajeti

SERIKALI imependekeza ukomo wa Bajeti ya Serikali wa Sh trilioni 57.04 kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Ukomo huo ni sawa…

Soma Zaidi »

Namna kampeni ya ‘Shangwe Popote’ inavyotumika kuwahimiza wananchi kulipa kupitia simu

DAR EA SALAAM: Kwa Watanzania wengi, msimu wa sikukuu ni wakati wa kusherehekea, kusafiri, na kujumuika na familia. Hata hivyo,…

Soma Zaidi »

TRA Geita yakusanya bil 34/ miezi sita

MAMLAKA ya Mapato (TRA) Mkoa wa Geita imekusanya kiasi cha sh bilioni 34.44 sawa na asilimia 109.76 ya lengo la…

Soma Zaidi »

Barabara ya Handeni-Singida kujengwa kwa PPP

RAIS Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kukaa na Wizara ya Uchukuzi kukubaliana kwa pamoja kutafuta mwekezaji atakayeshirikiana nao…

Soma Zaidi »

Muhtasari wa majadiliano kuhusu maboresho ya kodi

KADRI Tanzania inavyoendelea na harakati za maboresho ya kodi, ni muhimu kufanya tafakuri kuhusu mada kuu zilizojadiliwa katika mfululizo wa…

Soma Zaidi »

Samia azindua boti za bil 4/- za wavuvi Tanga

RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua boti 35 zitakazotumiwa na wavuvi wa Mkoa wa Tanga zenye thamani ya Sh bilioni nne…

Soma Zaidi »

BoT yaonya ulaghai upatu mtandaoni, 26 mbaroni

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema inaendelea kuchukua hatua za kisheria dhidi ya maofi sa wa Kampuni ya Leo Beneath…

Soma Zaidi »
Back to top button