Uwekezajia

Mpango aiita Korea fursa za uwekezaji

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema Tanzania inathamini na imedhamiria kuimarisha ushirikiano na Jamhuri ya Korea ulioanza tangu mwaka…

Soma Zaidi »

Biteko aikaribisha India kuwekeza miradi ya umeme jua nchini

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya…

Soma Zaidi »

TIC yasajili miradi 16 ya bilioni 1/- Shinyanga

MWENYEKITI wa Bodi ya Kituo cha  Uwekezaji  Tanzania  (TIC ) Binilith Mahenge ameeleza Mkoa wa Shinyanga umekuwa ukifanya vizuri katika…

Soma Zaidi »

Usajili wa wawekezaji TIC waongezeka asilimia 44

KITUO Cha Uwekezaji Nchini (TIC) kimesema mwamko wa usajili wa miradi ya wawekezaji umeongezeka kutoka wawekezaji 500 kwa mwaka 2023…

Soma Zaidi »

Tanzania yanadi fursa uwekezaji Jotoardhi

UAE, Abu Dhabi: TANZANIA inatarajia kuwa miongoni mwa nchi ambazo zinaongoza kwenye uendelezaji wa umeme wa jotoardhi Kusini mwa Jangwa…

Soma Zaidi »

Serikali kuendelea kuimarisha mazingira ya biashara

SERIKALI inaendelea kuweka mazingira rafiki ya biashara ili kuwezesha upatikanaji wa ajira kwa watanzania sanjari na ukuaji wa uchumi ikiwemo…

Soma Zaidi »

TIC waagizwa kulinda wawekezaji

MANYARA: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo ametoa maagizo kwa Kituo cha Uwekezaji Tanzania…

Soma Zaidi »

Kapinga atangaza fursa za uwekezaji nishati nchini Saudi Arabia

RIYADH, Saudi Arabia: NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Kongamano la Wafanyabiashara na  Wawekezaji nchini Saudi Arabia litaongeza uwekezaji…

Soma Zaidi »

Serikali kushirikisha sekta binafsi usafirishaji umeme nchini

MOMBASA, Kenya: MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mha. Gissima Nyamo-Hanga amesema serikali inaendelea kuangalia njia bora ya…

Soma Zaidi »

‘Unafuu wa kodi kwa wazalishaji bia utawainua wakulima Tanzania’

Dar es Salaam, Tanzania: Kutoka kuwa mkulima mdogo anayelima kipande cha ekari moja na nusu, Nana Pissa sasa ni mama…

Soma Zaidi »
Back to top button