Featured

Featured posts

Mfumo wa stakabadhi ghalani utasimamiwa

MTWARA : CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kuendelea kusimamia mfumo wa stakabadhi ghalani kwa wakulima. Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania…

Soma Zaidi »

Samia ataja mikakati ya utalii Arusha

ARUSHA : MGOMBEA urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ametaja mikakati ya kukuza…

Soma Zaidi »

TRA yavuka lengo kwa kukusanya tril 8.9/-

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh trilioni 8.97 katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2025/2026.…

Soma Zaidi »

Mabasi 90 yahudumia njia ya Kimara-Kivukoni

SERIKALI imesema imeamua kuingiza mabasi 60 mapya kwenye Barabara ya mabasi yaendayo haraka njia ya Kimara hadi Kivukoni mkoani Dar…

Soma Zaidi »

Mwinyi: Pigeni kura Oktoba 29

UNGUJA : MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi kupuuza kauli za…

Soma Zaidi »

Rais Samia afanya uteuzi DART

DAR ES SALAAM: Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amemteua, Said Habibu Tunda kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo…

Soma Zaidi »

Senyamule aita wawekezaji hoteli nyota 5 Dodoma

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amezialika sekta binafsi mkoani humo kuwekeza katika sekta ya hoteli kwa kujenga za…

Soma Zaidi »

Ruwa’ichi: Hatushindani na serikali

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amesema Kanisa Katoliki halina mpango wa…

Soma Zaidi »

Mwinyi aahidi ajira kwa vijana

PANGAWE, Zanzibar: MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema sera kuu ya…

Soma Zaidi »

Dayo aahidi kuongeza mikopo bila riba

TABORA : MGOMBEA wa Urais kupitia Chama cha NLD, Hassan Dayo, amewasili mkoani Tabora kuomba ridhaa ya wananchi wa mkoa…

Soma Zaidi »
Back to top button