Featured

Featured posts

Biteko akemea ubabe Tanesco, ataka hatua

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na baadhi ya watoa huduma katika kituo cha huduma…

Soma Zaidi »

Serikali yapewa ushauri athari uamuzi wa Trump

SERIKALI imeshauriwa kutenga bajeti ya ziada kugharimia programu zilizokuwa zikifadhiliwa na serikali ya Marekani ili wananchi wasikose huduma zikiwemo za…

Soma Zaidi »

Samia: CCM inaaminika

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan amesema CCM inatimiza miaka 48 ikiwa imara, chama kikubwa…

Soma Zaidi »

Wanafunzi waguswa na msaada wa kisheria Bukombe

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Ushirombo iliyopo wilayani Bukombe mkoa wa Geita wameeleza kuguswa na Kampeni ya Msaada wa Kisheria…

Soma Zaidi »

Mgodi wa Ndolela mwanga mpya kwa wananchi

MGODI wa Mawe wa Ndolela Quarry uliopo kijiji cha Ndolela jimbo la Isimani mkoani Iringa umeanza ujenzi wa Zahanati kwa…

Soma Zaidi »

Majaliwa awataka viongozi CCM kusimamia miradi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Chama Cha Mapinduzi-CCM mkoani Kigoma kusimamia kwa karibu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya…

Soma Zaidi »

Dar, TRA kuimarisha mazingira ya kodi Kariakoo

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ipo tayari kushirikiana na mamlaka…

Soma Zaidi »

Arumeru watakiwa kueleza mazuri ya CCM

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Arumeru mkoani Arusha wamehimizwa kueleza mazuri yanayofanywa na chama hicho na kuonesha jinsi…

Soma Zaidi »

Samia, Mwinyi wamuomboleza Aga Khan IV

RAIS Dk Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi wametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha…

Soma Zaidi »

“Tumeboresha afya ya uzazi, mama na mtoto”

DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan amesema tangu mwaka 2021 serikali imetekeleza hatua mbalimbali kuboresha afya ya uzazi, afya…

Soma Zaidi »
Back to top button