Featured

Featured posts

Zanzibar yapiga ‘bao’ kiwanda cha mwani Afrika

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amebainisha kuwa serikali imekamilisha ujenzi wa kiwanda…

Soma Zaidi »

CCM yarekebisha Katiba, yaongeza wajumbe majimboni

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya marekebisho ya mbalimbali ya Katiba ya CCM ya 1977 ikiwamo ya kuongeza idadi ya wajumbe…

Soma Zaidi »

Rais Trump kuapishwa leo

Trump anaingia madarakani akiwa na ajenda muhimu za kuimarisha uchumi wa Marekani huku akitazamiwa kuongoza juhudi za kumaliza vita ya…

Soma Zaidi »

Simba wanatisha kimataifa

DAR ES SALAAM; SIMBA imeendelea kuthibitisha ni somo katika michuano ya kimaaifa baada ya leo kuifunga CS Constantine ya Algeria…

Soma Zaidi »

CCM wabariki Samia, Dk Mwinyi mitano tena

DODOMA: WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Taifa wamempitisha Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia…

Soma Zaidi »

Matukio mbalimbali Mkutano Mkuu CCM

DODOMA;Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM wakisikiliza Taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 Zanzibar inayowasilishwa na Mjumbe…

Soma Zaidi »

Victor Osimhen aikataa Man United

TETESI za usajili zinasema mshambuliaji Victor Osimhen anayekadiriwa kuwa na thamani ya pauni milioni 75 amekataa ofa ya Manchester United…

Soma Zaidi »

Ni Wasira Makamu Mwenyekiti CCM Bara

DODOMA; NI Stephen Wasira. Pengine hivyo ndivyo unavyoweza kujibu lile swali la nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara,…

Soma Zaidi »

Yanga kugusa robo fainali CAFCL leo?

NI ushindi pekee utakaoihakikishia Yanga kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika(CAFCL) katika mchezo wa mwisho wa michuano hiyo…

Soma Zaidi »

Kishindo Mkutano Mkuu CCM leo

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo wanaanza kikao chao cha siku mbili ambacho pamoja na…

Soma Zaidi »
Back to top button