Samia akutana na Rais wa Somalia

Rais Dk Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Dk Hassan Sheikh Mohamud leo Januari 29 kwenye makazi yake Ikulu, jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)
Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *