Featured

Featured posts

Majaliwa: Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya ujasiriamali

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea na mkakati wa kufungua milango ya ujasiriamali kwa kutekeleza sera na programu mbalimbali…

Soma Zaidi »

SADC kuondoa majeshi yake DRC

JUMUIYA ya Maendeleo ya Nchi Kusini mwa Afrika (SADC) imeamua kuondoa vikosi vya majeshi yake Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo…

Soma Zaidi »

Wizara tano kuchambua hoja za walimu wasio na ajira

SERIKALI imesema itaunda timu ya wataalamu itakayojumuisha wizara tano kuchambua waraka wa unaojiita Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (NETO).…

Soma Zaidi »

Benki ya Dunia yasifu sera za Rais Samia

MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, Dk Zarau Kibwe amepongeza uongozi na sera za kiuchumi za Rais…

Soma Zaidi »

Samia ashiriki mkutano SADC kwa mtandao

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya…

Soma Zaidi »

Viongozi washauri ushirikiano upatikanaji nishati endelevu

Viongozi mbalimbali wanaoshiriki mkutano wa kimataifa kuhusu matumizi ya nishati endelevu kwa watu wote unaofanyika Barbados wameshauri kuimarishwa kwa ushirikiano…

Soma Zaidi »

Majaliwa azindua kituo cha mabasi Nzega Mjini

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi 13 amezindua kituo kipya cha Mabasi cha Nzega Mjini mkoani Tabora ambacho ujenzi wake…

Soma Zaidi »

TRA makusanyo juu 78% miaka minne

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeongeza makusanyo ya kodi kwa asilimia 78 katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya…

Soma Zaidi »

Mwinyi: SMZ itaendelea kuimarisha sekta ya elimu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali vu Mwinyi amesema Serikali itaendelea Kuimarisha Miundombinu ya…

Soma Zaidi »

Kamati za Bunge Afrika na uendelevu huduma za afya

HIVI karibuni ulifanyika Mkutano wa Wenyeviti wa Kamati za Afya kwa Mabunge ya Afrika uliojadili na kutathmini idadi ya watu…

Soma Zaidi »
Back to top button