Infographics

Nishati safi yaongeza ufanisi magereza

MKUU wa Gereza la Bukoba, Aloyce Kalihamwe amesema matumizi ya nishati safi ya kupikia yameleta mageuzi makubwa katika utekelezaji wa…

Soma Zaidi »

Chande awafunda wahitimu chuo cha wanyamapori

KILIMANJARO: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande amewataka wahitimu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka, kuzingatia…

Soma Zaidi »

Ulega: Vijana lindeni amani

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa wito kwa vijana walinde amani ya Tanzania. Ulega alisema amani ni nguzo ya maendeleo…

Soma Zaidi »

Rais Samia ateua Mkurugenzi Mkuu PSSSF

DODOMA; RAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua Fortunatus Magambo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa…

Soma Zaidi »

Stars wakijifua kujiandaa AFCON

CAIRO, Misri; Wachezaji wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa mazoezini jijini Cairo, Misri kujiandaa na…

Soma Zaidi »

Mashauri Mwenyekiti mpya Halmashauri Kwimba

MWANZA; MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya Kwimba mkoani Mwanza wamemchagua Lameck Mashauri wa Cbama Cha Mapinduzi(CCM) kuwa Mwenyekiti wa halmashauri…

Soma Zaidi »

Tuipe nafasi Tume ifanye kazi yake

TUME ya Rais ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Oktoba 29, 2025 imetaka umma…

Soma Zaidi »

Singida BS wapania kung’ara kimataifa

ZANZIBAR; TIMU ya Singida Black Stars leo itaivaa Stellenbosch FC katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar mchezo wa Kombe…

Soma Zaidi »

JWTZ, polisi waanza doria Ziwa Tanganyika

KIGOMA: Utekelezaji wa mpango wa doria ya pamoja baina ya Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) …

Soma Zaidi »

Jamii yakumbushwa kuzingatia lishe bora

ARUSHA; JAMII imekumbushwa lishe bora ni msingi wa afya ya binadamu, lakini pia izingatie usafi ili kujikinga magonjwa ya milipuko.…

Soma Zaidi »
Back to top button