Infographics

Stars wakijifua kujiandaa AFCON

CAIRO, Misri; Wachezaji wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa mazoezini jijini Cairo, Misri kujiandaa na…

Soma Zaidi »

Mashauri Mwenyekiti mpya Halmashauri Kwimba

MWANZA; MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya Kwimba mkoani Mwanza wamemchagua Lameck Mashauri wa Cbama Cha Mapinduzi(CCM) kuwa Mwenyekiti wa halmashauri…

Soma Zaidi »

Tuipe nafasi Tume ifanye kazi yake

TUME ya Rais ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Oktoba 29, 2025 imetaka umma…

Soma Zaidi »

Singida BS wapania kung’ara kimataifa

ZANZIBAR; TIMU ya Singida Black Stars leo itaivaa Stellenbosch FC katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar mchezo wa Kombe…

Soma Zaidi »

JWTZ, polisi waanza doria Ziwa Tanganyika

KIGOMA: Utekelezaji wa mpango wa doria ya pamoja baina ya Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) …

Soma Zaidi »

Jamii yakumbushwa kuzingatia lishe bora

ARUSHA; JAMII imekumbushwa lishe bora ni msingi wa afya ya binadamu, lakini pia izingatie usafi ili kujikinga magonjwa ya milipuko.…

Soma Zaidi »

‘Urani ya Namtumbo, mwanga mpya Tanzania kuelekea uchumi wa kisasa’

CHINI ya ardhi ya Mkuju wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma kumelalia utajiri mkubwa usioonekana kwa macho ya kawaida madini ya urani.…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi aongoza kikao kazi cha viongozi wa serikali

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameongoza Kikao Kazi kilichowajumuisha Mawaziri,…

Soma Zaidi »

New York Times yapotosha uhalisia vurugu za uchaguzi

GAZETI la New York Times la Marekani limeandika taarifa inayopotosha ukweli kuhusu vurugu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa…

Soma Zaidi »

MOI, India watengeneza miguu bandia kwa Watanzania 600

TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Ubalozi wa India nchini Tanzania kupitia Taasisi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button