Infographics

Trump aongeza ushuru bidhaa za nje

WASHINGTON : RAIS wa Marekani, Donald Trump, ametangaza ushuru mpya kwa bidhaa mbalimbali zinazoagizwa kutoka nje, ikiwemo dawa na malori…

Soma Zaidi »

Masoud aahidi kutatua tatizo la ajira

ZANZIBAR: MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Act Wazalendo Othman Masoud Othman akienda kutafuta kura katika Kisiwa kidogo cha Kojani Mkoa…

Soma Zaidi »

Balozi Matinyi akutana na wanafunzi wa Tanzania

STOCKHOLM ,Sweden : BALOZI wa Tanzania nchini Sweden,Mobhare Matinyi (katikati aliyekunja mikono), akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wapya…

Soma Zaidi »

Mashindano ya uchoraji yaibua vipaji shuleni

DAR ES SALAAM: WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema mashindano ya kazi za sanaa ya uchoraji yaliyoandaliwa kwa wanafunzi…

Soma Zaidi »

Austria yafadhili miradi ya umeme Tanzania

VIENNA : SERIKALI ya Austria kupitia Benki ya UniCredit imeahidi kuipatia fedha Serikali ya Tanzania Euro milioni 20 sawa na…

Soma Zaidi »

Makanisa 84 yabadili mabango kuwa Shincheonji

ETHIOPIA: Jumla ya makanisa 84 katika miji 10 nchini Ethiopia yamebadili rasmi mabango yao na kuandikwa jina jipya la Kanisa…

Soma Zaidi »

Azimio la Tanzania kuwasha moto mpya korosho Afrika

TANZANIA imeibuka kuwa kinara wa kimataifa katika sekta ya korosho, ikiongoza mwito wa pamoja wa Afrika wa kusitisha mauzo ya…

Soma Zaidi »

Babati vijijini kumenoga ufunguzi wa kampeni

KAGERA: Kampeni za Uchaguzi Mkuu zilizoanza Agosti 28 mwaka huu zitamalizika Oktoba 28 na upigaji kura utafanyika Oktoba 29 ambapo…

Soma Zaidi »

Droni za Urusi zajadiliwa NATO

BRUSSELS, Ubelgiji : MABALOZI wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Kijeshi ya NATO wamekutana Jumatano Septemba 10 kujadili hatua za…

Soma Zaidi »

Wakili Mndeme ataja vipaumbele vitatu Kigamboni

DAR ES SALAAM: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigamboni, jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha ACT – Wazalendo, Wakili…

Soma Zaidi »
Back to top button