Infographics

Serikali yapiga marufuku taarifa zake kwenye mitandao binafsi

SERIKALI imepiga marufuku matumizi ya mitandao binafsi zikiwemo baruapepe, WhatsApp, Instagram, You Tube, Facebook kutuma nyaraka na taarifa za serikali.…

Soma Zaidi »

Vifaa tiba vya Mil 183/- kusaidia upasuaji rekebishi MNH

HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imepokea vifaa tiba vyenye thamani ya Sh milioni 183 kutoka Shirika la Operation Smile…

Soma Zaidi »

Samia agusa maisha ya Watanzania kupitia Bima yaAfya

RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uamuzi makini wakubadili ahadi aliyotoa wakati wa kampeni zake kuwania uraiskwa kipindi cha pili na…

Soma Zaidi »

Samia azungumza na wanahabari juu ya kutokomeza malaria

RAIS Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanahabari juu ya ufadhili endelevu wa kutokomeza Malaria pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa…

Soma Zaidi »

‘Kutotekelezwa matakwa sheria ya PDPA ni hatari ‘

MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dk. Emmanuel Lameck Mkilia, amesisitiza kuwa kutotekeleza matakwa ya Sheria…

Soma Zaidi »

Mwigulu atoa maelekezo hoja za wabunge miradi ya maendeleo

DODOMA; SERIKALI imesema imefuatilia kwa makini mijadala ya wabunge na kuwa hoja zao zimeonesha wazi kuunga mkono juhudi kubwa za…

Soma Zaidi »

Wananchi wataka kituo cha afya Kandaga kikamilike

KIGOMA: Mabalozi na wananchi wa kata ya Kandaga Halmashauri ya Wilaya Uvinza mkoani Kigoma wameiomba serikali kukamilisha mradi wa kituo…

Soma Zaidi »

DC Tandahimba ahimiza usajili wa wakazi

MTWARA: MKUU wa Wilaya ya Tandahimba, Michael Mntenjele amewaomba madiwani pamoja na viongozi wengine wilayani humo kuendelea kuwakumbusha wananchi na…

Soma Zaidi »

Samia ashiriki uzinduzi Global Africa Investment Summit

RAIS Samia Suluhu Hassan ameshiriki uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS) jijini Dubai, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE),…

Soma Zaidi »

Mashauri 326 ya mirathi yakamilika Morogoro

MOROGORO: MAHAKAMA Kuu Kanda ya Morogoro imeweka kupaumbele katika usikilizaji wa mashauri ya mirathi kwa kuunda kamati ya ufuatiliaji wa…

Soma Zaidi »
Back to top button