Infographics

IATF2025 kukutanisha wafanyabiashara, wawekezaji

ALGIERS, Algeria: Wakuu wa nchi na serikali, wafanyabiashara na wawekezaji, wajasiriamali na wabunufu kutoka mataifa mbalimbali Afrika na ulimwenguni wanakutana…

Soma Zaidi »

Akili unde isichafue pambazuko la wanawake kuchaguliwa 2025

MWAKA 2025 kumepambazuka kwa wanawake kuchanua katika siasa na uongozi na ndio maana ‘Kura Yako ni Haki Yako Jitokee Kupiga…

Soma Zaidi »

Waandishi watakiwa kuithibitishia dunia Tanzania ni nchi ya amani

MBEYA : SERIKALI imesema waandishi wa habari wana jukumu la kuithibitishia dunia kuwa Tanzania ni taifa lenye umoja, amani na…

Soma Zaidi »

Maofisa Waandamizi Jeshi la Polisi wajipanga kuimarisha amani

DODOMA : MAOFISA Waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini wameazimia kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa 2025 unafanyika katika hali ya amani,…

Soma Zaidi »

Dk Nchimbi: Matiko ni silaha madhubuti kisiasa

MARA; MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kimepata silaha madhubuti…

Soma Zaidi »

Wananchi Same Magharibi wapewa taarifa njema

SAME, Kilimanjaro: KATIKA kipindi cha miaka mitano ijayo serikali imetenga mamilioni ya fedha kwa ajili ya kukamilisha mradi wa umeme…

Soma Zaidi »

CCM yafunika Dar, Samia aahidi makubwa siku 100 ofisini

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kufanya makubwa katika siku 100 akichaguliwa kuiongoza nchi kwa…

Soma Zaidi »

CCM yakosa upinzani ubunge Mvomero, Ngorongoro

WAGOMBEA ubunge katika majimbo ya Mvomero mkoani Morogoro na Ngorongoro mkoani Arusha wamekosa wapinzani. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi…

Soma Zaidi »

Ndoiyo akabidhiwa fomu Ngorongoro

OFISI ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ngorongoro imetoa fomu ya uteuzi kwa mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)…

Soma Zaidi »

Khambay achukua fomu Babati Mjini

MANYARA: Mgombea wa ubunge Jimbo la Babati Mjini, Emmanuel Khambay achukua fomu ya kugombe ubunge katika jimbo hilo na kuwataka…

Soma Zaidi »
Back to top button