Jamii

‘Ufugaji samaki kwenye vizimba unaua wavuvi njaa’

DODOMA; MBUNGE wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba amedai kuwa uwekezaji unaofanywa na raia wa kigeni kwa kufuga samaki kwenye vizimba…

Soma Zaidi »

Kuendeshwa na Mafanikio: Safari isiyo ya kawaida ya Laurence Mollel

WANASEMA, “Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi,” lakini katika biashara, bahati huja kwa wale wanaothubutu kufanya maamuzi sahihi na kuwekeza…

Soma Zaidi »

Majaliwa amwakilishi Rais Samia siku ya uelewa kuhusu ualbino

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 13, 2025 amemwakilisha Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku…

Soma Zaidi »

MWONGOZO WA MALEZI: Msingi wa urithi wa familia bora

MALEZI ya Watoto katika familia ni suala linalohitaji kupewa kipaumbele na wazazi, walezi, familia, jamii na taifa kwa ujumla kwa…

Soma Zaidi »

NYANI: Wanyama ‘wanaoabudu ndoa za mitala’

“WANYAMA hawa (nyani) asubuhi wanapoamka kabla ya kuanza majukumu yao, ni lazima kwenda kumsalimia dume ambaye ni kiongozi wa familia…

Soma Zaidi »

Gugu karoti tishio kwa ikolojia, wanyamapori

“GUGU Karoti ni tishio kwa uoto wa asili, malisho ya mifugo na maisha ya wanyamapori. Kwa msingi huo, ushirikiano wa…

Soma Zaidi »

Wanyama waharibifu, wakali ‘wawekwa mtegoni’

TANZANIA imebarikiwa kuwa na maliasili nyingi wakiwamo wanyamapori ambao wamekuwa sehemu ya vivutio vya utalii nchini na kuliingizia taifa mabilioni…

Soma Zaidi »

Chuchu Hans ataja sababu za kushindwa kufunga ndoa

MWIGIZAJI maarufu wa filamu na tamthilia nchini Chuchu Hans, amesema uhusiano wake na mzazi mwenzake Vicent Kigosi ‘Ray’ sio tu…

Soma Zaidi »

Waganga wa jadi watwishwa lawama Geita

GEITA; JESHI la Polisi mkoani Geita limebaini baadhi ya waganga wa kienyeji na tiba mbadala wanatumia nafasi zao kufanya matukio…

Soma Zaidi »

KUWASA yazindua mfumo kudhibiti upotevu wa maji

KIGOMA; Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kigoma (KUWASA), kwa kushirikiana na Kampuni ya CollectTech Limited, imezindua mfumo mpya…

Soma Zaidi »
Back to top button