Kimataifa

PPRD: Hukumu ya Kabila ni ya kisiasa

DR CONGO : CHAMA cha People’s Party for Reconstruction and Democracy (PPRD) cha Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia…

Soma Zaidi »

Mali Algeria zalumbana kuhusu droni

NEW YORK : TUKIO la kudunguliwa droni ya Mali katika anga ya Algeria limezidisha mvutano kati ya mataifa haya mawili…

Soma Zaidi »

Maduro aanza kudhibiti usalama

VENEZUELA : RAIS wa Venezuela, Nicolas Maduro, ametia saini amri inayompa mamlaka ya ziada ya kudhibiti hali ya usalama nchini…

Soma Zaidi »

Rais wa Madagascar avunja serikali

MADAGASCAR : RAIS wa Madagascar, Andry Rajoelina, ameivunja serikali yake jana Jumatatu baada ya machafuko makubwa yaliyosababisha vifo vya watu…

Soma Zaidi »

Taliban yakata mawasiliano

KABUL, Afghanistan: MAMLAKA ya Kiislam ya Taliban imeamuru kuzimwa kwa mkongo wa taifa wa intaneti nchini Afghanistan hadi pale itakapotoa…

Soma Zaidi »

Chama Tawala chaongozo Moldova

MOLDOVA : CHAMA tawala cha Moldova kinachounga mkono Umoja wa Ulaya (EU) kimeibuka kinachoongoza katika uchaguzi wa bunge, kufuatia kura…

Soma Zaidi »

China yafungua daraja kubwa duniani

BEIJING: CHINA imefungua rasmi daraja la Grand Canyon la Huajiang lenye urefu wa mita 625 juu ya bonde katika mkoa…

Soma Zaidi »

Kenya yaokoa raia watatu Urusi

NAIROBI : SERIKALI ya Kenya imesema imefanikiwa kuwaokoa raia wake watatu waliokuwa wamesafirishwa nchini Urusi na kulazimishwa kujiunga na jeshi…

Soma Zaidi »

Vodacom mdhamini mkuu Mashindano ya Gofu

Dar es Salaam: Vodacom Tanzania Plc imesaini mkataba na Chama cha Gofu Tanzania, huku kampuni hiyo ya mawasiliano ikijitokeza kuwa…

Soma Zaidi »

Vijana mbaroni Kenya kudharau bendera

NAIROBI, Kenya: POLISI nchini Kenya imewakamata vijana wawili kwa kosa la kudharau bendera ya taifa wakati wa mechi ya soka…

Soma Zaidi »
Back to top button