Kimataifa

Uturuki yawakamata waandamanaji 42

UTURUKI : SERIKALI nchini Uturuki inawashikilia watu 42 baada ya kuwakamata kufuatia maandamano makubwa yaliofanyika mjini Istanbul, siku 100 tangu…

Soma Zaidi »

Hamas yakataa mpango wa Trump

GAZA,PALESTINA : KUNDI la Wanamgambo la Hamas limesema liko tayari kusitisha mapigano na Israel, lakini haiko tayari kuunga mkono mpango…

Soma Zaidi »

Turk apigwa marufuku Venezuela

VENEZUELA : BUNGE la Venezuela linaloungwa mkono na serikali limemtangaza Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu,…

Soma Zaidi »

WFP: Njaa yaua wakimbizi wa Sudan

KHARTOUM : MAMILIONI ya watu wanaokimbia mapigano nchini Sudan wanakabiliwa na hali mbaya ya njaa, huku wakisaka hifadhi katika mataifa…

Soma Zaidi »

Israel yaendeleza mashambulizi

GAZA : JESHI la Israel limepanua operesheni zake za kijeshi katika Ukanda wa Gaza, siku chache kabla ya ziara ya…

Soma Zaidi »

Macron, Putin wazungumza baada ya miaka miwili

PARIS : RAIS wa Ufaransa Emmanuel Macron na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, wamezungumza kwa simu kwa mara ya kwanza…

Soma Zaidi »

Uganda yajiunga rasmi na BRICS

KAMPALA : UGANDA imejiunga rasmi kama mshirika wa jumuiya ya BRICS inayojumuisha Brazil, Urusi, India, China na Afrika Kusini, hatua…

Soma Zaidi »

iRAN imegoma kurejea kwenye mazungumzo

TEHRAN : WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema hakuna uwezekano wa nchi yake kurejea katika mazungumzo…

Soma Zaidi »

Trump apunguza misaada, watoto waathirika

MADRID, UHISPANIA : TAKRIBAN watu milioni 14 wanaoishi katika mazingira magumu duniani wako hatarini kufariki dunia kufikia mwaka 2030, kufuatia…

Soma Zaidi »

Trump, Netanyahu kukutana White House

WASHINGTON DC : RAIS wa Marekani, Donald Trump, anatarajiwa kuwa mwenyeji wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, katika mazungumzo…

Soma Zaidi »
Back to top button