Africa

Ripoti yataka hatua za kisera kukabili changamoto za kujifunza

EMBU, KENYA: Ripoti mpya ya elimu imependekeza kuchukuliwa hatua za haraka na madhubuti za kisera zinazotokana na utafiti ili kukabiliana…

Soma Zaidi »

DRC yazindua kampeni ya mauaji ya halaiki

KINSHASA, DR CONGO : SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imezindua kampeni katika Umoja wa Mataifa kutaka jumuiya…

Soma Zaidi »

Balozi, bosi Sonatrach wateta fursa za uwekezaji sekta ya mafuta, gesi asilia

Algiers, Algeria: Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Iman Njalikai amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyekiti na mkurugenzi mtendaji wa Kampuni…

Soma Zaidi »

Dk Gwajima atembelea chuo kinachofundisha Kiswahili Namibia

NAMIBIA; Waziri wa Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk. Dorothy Gwajima ametembelea Chuo cha Triumphant kilichopo Windhoek,…

Soma Zaidi »

Bilionea wa Tanzania aipa heshima Afrika Mashariki

RIPOTI mpya ya Africa Wealth Report 2025 iliyochapishwa na kampuni ya ushauri wa uwekezaji ya kimataifa Henley & Partners kwa…

Soma Zaidi »

Afreximbank yataka mapinduzi ya kiuchumi Afrika

ALGIERS, Algeria: Rais wa Benki ya Maendeleo ya Uagizaji na Uuzaji Nje ya Afrika (Afreximbank), Profesa Benedict Oramah, amewataka viongozi,…

Soma Zaidi »

Bwawa la JNHPP lawa kivutio maonesho ya IATF2025

ALGIERS, Algeria: Mradi wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) katika Mto Rufiji, umetajwa kuwa kielelezo cha ushirikiano…

Soma Zaidi »

Njaa yazidisha utapiamlo Afrika

LONDON: SHIRIKA la kimataifa la hisani kwa watoto, Save the Children, limesema kuwa takribani nchi nne za Afrika zinatarajiwa kukumbwa…

Soma Zaidi »

NIGER kuzalisha umeme wa nyuklia

NIGER : SERIKALI ya Urusi imeahidi kujenga kituo cha umeme wa nyuklia nchini Niger, taifa linaloongoza kwa urani barani Afrika…

Soma Zaidi »

DRC, Rwanda zakubaliana kurejesha wakimbizi

DR CONGO : SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi (UNHCR) limesema DRC na Rwanda zimekubaliana kuwarejesha makwao wakimbizi walioathiriwa…

Soma Zaidi »
Back to top button