Kimataifa

Waziri Mkuu Japan atangaza kujiuzulu

TOKYO, JAPAN: WAZIRI Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ametangaza kujiuzulu jana jioni baada ya kushika wadhifa huo kwa chini ya…

Soma Zaidi »

Dk Gwajima atembelea chuo kinachofundisha Kiswahili Namibia

NAMIBIA; Waziri wa Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk. Dorothy Gwajima ametembelea Chuo cha Triumphant kilichopo Windhoek,…

Soma Zaidi »

Bilionea wa Tanzania aipa heshima Afrika Mashariki

RIPOTI mpya ya Africa Wealth Report 2025 iliyochapishwa na kampuni ya ushauri wa uwekezaji ya kimataifa Henley & Partners kwa…

Soma Zaidi »

Afreximbank yataka mapinduzi ya kiuchumi Afrika

ALGIERS, Algeria: Rais wa Benki ya Maendeleo ya Uagizaji na Uuzaji Nje ya Afrika (Afreximbank), Profesa Benedict Oramah, amewataka viongozi,…

Soma Zaidi »

Bwawa la JNHPP lawa kivutio maonesho ya IATF2025

ALGIERS, Algeria: Mradi wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) katika Mto Rufiji, umetajwa kuwa kielelezo cha ushirikiano…

Soma Zaidi »

Mpango asema Tanzania iko tayari kwa Uchaguzi Mkuu

MADAGASCAR : MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema maandalizi muhimu kwa ajili ya kufanya Uchaguzi Mkuu wa haki, uhuru…

Soma Zaidi »

Araqchi: Tupo tayari tukiona nia njema

TEHRAN: WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema nchi yake iko tayari kurejea kwenye mazungumzo ya mkataba…

Soma Zaidi »

Guterres apinga udhibiti wa Gaza

NEW YORK : KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres ametoa wito kwa Israel kuachana na mpango wake wa…

Soma Zaidi »

Njaa yazidisha utapiamlo Afrika

LONDON: SHIRIKA la kimataifa la hisani kwa watoto, Save the Children, limesema kuwa takribani nchi nne za Afrika zinatarajiwa kukumbwa…

Soma Zaidi »

NIGER kuzalisha umeme wa nyuklia

NIGER : SERIKALI ya Urusi imeahidi kujenga kituo cha umeme wa nyuklia nchini Niger, taifa linaloongoza kwa urani barani Afrika…

Soma Zaidi »
Back to top button