Kimataifa

ICRC yakosoa mpango wa Israel

GAZA, PALESTINA: KAMATI ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imesema mpango wa Israel wa kupanua mashambulizi Gaza ni hali isiyovumilika.

Soma Zaidi »

Israel kushika usukani Gaza – Netanyahu

ISRAEL: WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema serikali yake itachukua udhibiti kamili wa mji wa Gaza.

Soma Zaidi »

Mauaji mapya ya waasi yatikisa Colombia

COLOMBIA : NCHINI Colombia , watu 18 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 40 wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa na kundi…

Soma Zaidi »

Kenya: Miili yafukuliwa Kilifi

KENYA : TAKRIBANI miili mitano imefukuliwa kutoka makaburi ya kina kifupi katika pwani ya kaskazini mwa Kenya. Maeneo hayo yanahusishwa…

Soma Zaidi »

Malori 16 ya misaada yateketea Sudan

DARFUR: UMOJA wa Mataifa umesema shambulizi la droni limesababisha kuungua kwa malori 16 ya misaada ya chakula katika eneo la…

Soma Zaidi »

Tshisekedi akataa rasimu ya amani

KINSHASA : PENDEKEZO la makubaliano ya amani kati ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na waasi wa…

Soma Zaidi »

Watoa misaada 383 wauawa 2024

NEW YORK, MAREKANI: UMOJA wa Mataifa umesema wafanyakazi 383 wa mashirika ya kutoa misaada waliuawa katika maeneo ya mapigano duniani…

Soma Zaidi »

Ujerumani kuwapokea wakimbizi 942

BERLIN, UJERUMANI: SERIKALI ya Ujerumani imesema imewapokea wakimbizi 942 kutoka nchi mbalimbali duniani kwa mwaka huu kupitia mpango wa Umoja…

Soma Zaidi »

Mauaji mapya ya ADF yatikisa DRC

DR CONGO: UMOJA wa Mataifa umesema takriban raia 52 wameuawa na waasi wa ADF katika mashambulizi yaliyotokea hivi karibuni Kaskazini…

Soma Zaidi »

Hamas yakubali kusitisha vita Gaza

GAZA, PALESTINA: KUNDI la Hamas limetangaza kukubali pendekezo jipya la kusitisha vita kwa muda mfupi katika Ukanda wa Gaza.

Soma Zaidi »
Back to top button