Kimataifa

Mwanasheria wa Hakimi acharuka kesi ya ubakaji

PARIS: MWANASHERIA wa Achraf Hakimi, Fanny Colin, anasema kuna “ushahidi mkubwa” ambao unamuondolea tuhuma za ubakaji, huku waendesha mashtaka Ufaransa…

Soma Zaidi »

Wanasayansi wazindua dawa kulinda vifaru

AFRIKA KUSINI : WANASAYANSI nchini Afrika Kusini wamezindua mradi wa kisayansi wa kutumia dawa zenye mionzi kudunga pembe za kifaru…

Soma Zaidi »

Mashambulizi Kiev yaua watu 31

KIEV, UKRAINE : IDADI ya watu waliouawa katika jiji la Kiev, Ukraine, imeongezeka na kufikia 31 kufuatia shambulio la makombora…

Soma Zaidi »

Mataifa 68 kuwekewa ushuru mpya

MAREKANI : RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesaini amri ya kuweka ushuru mpya kwa mataifa 68 pamoja na Umoja wa…

Soma Zaidi »

Yoon Suk Yeol akwepa kuhojiwa gerezani

KOREA KUSINI : RAIS wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, anadaiwa kutumia mbinu isiyo ya kawaida kukwepa kuhojiwa…

Soma Zaidi »

Kiongozi wa upinzani akwama Yaoundé

YAOUNDE, CAMEROON : MGOMBEA Urais na Waziri wa zamani nchini Cameroon, Issa Tchiroma Bakary, amedai kuzuiwa kusafiri mapema leo wakati…

Soma Zaidi »

Kanuni za usalama zavunjwa Air India

INDIA : MAMLAKA ya Udhibiti wa Safari za Anga nchini India imebaini ukiukaji wa kanuni za usalama 51 katika shirika…

Soma Zaidi »

UN yataka uchunguzi machafuko Angola

LUANDA, ANGOLA : UMOJA wa Mataifa umetaka kufanyika uchunguzi wa haraka, wa kina na huru kufuatia machafuko ya siku mbili…

Soma Zaidi »

Rwanda, DRC waanza kutekeleza makubaliano ya amani

WASHINGTON, MAREKANI : RWANDA na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimekutana kwa mara ya kwanza katika kikao cha Kamati…

Soma Zaidi »

Iran yatoa masharti mapya ya Nyuklia

TEHRAN, IRAN : WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema Marekani inapaswa kulipa fidia kwa hasara iliyosababishwa…

Soma Zaidi »
Back to top button