Kimataifa

Merz: Tunakwenda Gaza kutafuta majibu

BERLIN, UJERUMANI : UJERUMANI , Ufaransa na Uingereza zinapanga kuwatuma mawaziri wao wa mambo ya nje katika Ukanda wa Gaza…

Soma Zaidi »

Peskov: Hatulengi raia, tunataka amani

MOSCOW, URUSI : SERIKALI ya Urusi imedai kuwa Rais Vladimir Putin ana dhamira ya kweli ya kupatikana kwa amani kati…

Soma Zaidi »

Mahakama yamkuta Uribe na hatia

BOGOTA : RAIS wa zamani wa Colombia, Alvaro Uribe, amepatikana na hatia ya kujaribu kuwarubuni mashahidi katika kesi ya ufisadi…

Soma Zaidi »

China yazindua mpango wa kuongeza uzazi

BEIJING: WAZAZI nchini China wanapewa ruzuku ya yuan 3,600 (sawa na Sh375,000) kwa mwaka kwa kila mtoto aliye na umri…

Soma Zaidi »

Malori 120 ya msaada yaingia Gaza

JERUSALEM: SERIKALI ya Israel imesema zaidi ya malori 120 ya msaada wa chakula yamesambazwa katika Ukanda wa Gaza na Umoja…

Soma Zaidi »

Njaa yasababisha ukosefu wa amani

NEW YORK : KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ameitaka jamii ya kimataifa kupinga vikali tatizo la njaa…

Soma Zaidi »

RSF yaunda serikali sambamba Sudan

KHARTOUM: KUNDI la wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) na washirika wake nchini Sudan wameunda serikali sambamba ya Muungano wa…

Soma Zaidi »

Waasi wa ADF wauwa zaidi ya watu 40

KINSHASA: ZAIDI ya watu 40 wameuawa kufuatia mashambulizi ya waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) Kaskazini Mashariki mwa Jamhuri ya…

Soma Zaidi »

Iran, E3 waanza mazungumzo mapya

TEHRAN : WANADIPLOMASIA wa Iran wanakutana leo na wenzao kutoka Ujerumani, Uingereza na Ufaransa kwa mazungumzo mapya kuhusu mpango wa…

Soma Zaidi »

Kesi ya Kabila Yaanza Kinshasa

KINSHASA : MAHAKAMA ya kijeshi mjini Kinshasa imeanza kusikiliza kesi inayomkabili rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo…

Soma Zaidi »
Back to top button