Kimataifa

Mazungumzo mapya Gaza wiki ijayo

CAIRO : SHIRIKA la habari la Al-Qahera, lenye uhusiano na serikali ya Misri, limeripoti kuwa mazungumzo ya amani ya Gaza…

Soma Zaidi »

Bunge lapigwa stop kumuondoa Sara Duterte

MANILA : MAHAKAMA ya Juu nchini Ufilipino imetupilia mbali uamuzi wa bunge wa kumuondoa madarakani Makamu wa Rais Sara Duterte,…

Soma Zaidi »

ICC yawatia hatiani vigogo CAR

UHOLANZI: MAHAKAMA ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imewahukumu maafisa wawili wa zamani wa serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati…

Soma Zaidi »

Kenya yashindwa kufadhili elimu

NAIROBI : SERIKALI ya Kenya imetangaza kushindwa kumudu gharama za kufadhili elimu ya bure kwa shule za msingi na sekondari,…

Soma Zaidi »

Ufaransa yaitambua Palestina

PARIS: RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ametangaza kuwa nchi yake itaitambua rasmi Palestina kama taifa huru ifikapo Septemba mwaka huu,…

Soma Zaidi »

“Nasema Siondoki” William Ruto

KENYA : RAIS wa Kenya, William Ruto, amepinga vikali wito unaoendelea wa kumtaka ajiuzulu, akisema madai hayo hayana msingi.

Soma Zaidi »

Biya ajiimarisha kijeshi kabla ya uchaguzi

YAOUNDE : RAIS wa Cameroon, Paul Biya (92), ambaye kwa sasa ndiye mkuu wa nchi mwenye umri mkubwa zaidi duniani,…

Soma Zaidi »

Teknolojia ya IVF yaokoa kizazi

LONDON : WATOTO wanane wenye afya nzuri wamezaliwa nchini Uingereza kupitia mbinu mpya ya upandikizaji wa mimba (IVF), ambayo imefanikiwa…

Soma Zaidi »

Tetemeko la 7.3 lapiga Alaska

ALASKA : TETEMEKO kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 7.3 katika kipimo cha Richter limetokea katika pwani ya jimbo la…

Soma Zaidi »

Muungano wa Netanyahu watetereka

JERUSALEM : WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amepoteza mshirika mwingine muhimu katika serikali yake ya muungano, baada ya chama…

Soma Zaidi »
Back to top button