Gesi
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
-
Mradi wa bomba la gesi waendelea – TPDC
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linaendelea na mchakato wa kutekeleza mradi wa Bomba la Gesi kutoka Kinyerezi kwenda…
Soma Zaidi » -
Mazungumzo mabadiliko matumizi ya mafuta kwenda gesi
SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati imesema imekuwa na mazungumzo na Wizara ya Fedha kupunguza gharama na kodi katika vifaa vinavyotumika…
Soma Zaidi » -
Ndejembi ataka kasi utafutaji gesi, mafuta
DAR ES SALAAM: Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kubuni mikakati thabiti…
Soma Zaidi » -
TPDC : Maelfu Wanufaika na Gesi Asilia
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendelea kuunga mkono Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwani Watanzania…
Soma Zaidi » -
Ufanisi PURA waikosha TUGHE
MOROGORO: Naibu Katibu Mkuu Chama wa Wafanyakazi wa Serikali na Afya Taifa (TUGHE), Amani Msuya ameeleza kuvutiwa na kiwango cha…
Soma Zaidi » -
Dalili gesi asilia zaonekana kitalu cha Lindi – Mtwara
MTWARA: UTAFITI unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za uwepo wa gesi asilia, hususani katika vijiji…
Soma Zaidi » -
PURA yaweka msisitizo elimu miradi kwa wananchi
MTWARA: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeelekeza nguvu zake katika utoaji wa elimu kwa wananchi kuhusu miradi…
Soma Zaidi » -
Utafiti wa mafuta, gesi waonyesha mafanikio
ARUSHA: Utafiti unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere unaolenga kutafuta mafuta na gesi katika Bonde la Ufa la…
Soma Zaidi » -
PURA yaikaribisha Chevron Tanzania kuwekeza sekta ya mafuta, gesi asilia
ACCRA, GHANA: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeikaribisha moja ya kampuni kubwa ya nishati ya Marekani ijulikanayo…
Soma Zaidi » -
Kampuni ya gesi yazindua jiko la nishati safi
KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania kwa kushirikiana na Tanzania Communities Rise Foundation(TCRF) wamezindua jiko linatumia mfumo wa nishati safi katika…
Soma Zaidi »